KUPATA CHETI CHA KUZALIWA - VIGEZO
Ili kupata cheti cha kuzaliwa, unahitaji kufuata vigezo vifuatavyo:
- Kadi ya Kliniki
- Kadi ya Mpiga Kura
- Kitambulisho cha NIDA
- Leseni ya Udereva
- Living Certificate ya Form 4
- Tangazo la Uzazi
VIAMBATA VYA ZIADA
Kwa ajili ya kuongezea usahihi na uhakika wa maombi yako, viambatanisho vya ziada vinavyohitajika ni kama ifuatavyo:
- Kadi ya Mpiga Kura ya Mzazi
- Kitambulisho cha NIDA cha Mzazi
Viambatanisho hivi walau vianzie vitatu na kuendelea. Tafadhali tuma viambatanisho halisi ili kuepuka kuchelewesha mchakato wa upatikanaji wa cheti.
© 2025 | G-SERVICES
Tags:
Huduma ya vyeti