Huduma ya Intaneti Isiyo na Ukomo – Mwaka Mzima
Furahia intaneti bila kikomo kwa kipindi cha mwaka mzima! Huduma hii ni bora kwa kazi, kujifunza, burudani, au matumizi ya familia.
Faida za Huduma Hii
- ✔ Intaneti isiyo na kikomo kwa mwaka mzima
- ✔ Hakuna malipo ya kila mwezi
- ✔ Inafanya kazi popote Tanzania
- ✔ Kasi nzuri & salama kwa matumizi yoyote
Jinsi ya Kujiunga
- Lipia kifurushi cha mwaka.
- Tuma namba yako ya simu na majina yako kamili ya usajili.
- Huduma inaanza ndani ya muda mfupi baada ya kuthibitisha malipo.
Usikose hii nafasi. Jiunge leo na furahia mwaka mzima wa uhuru wa intaneti!
© 2025 | G-SERVICES
Tags:
Vifurushi vya halotel