Vifurushi hivi vya Airtel SME unajiunga mwenyewe kwa menu ya SME ambayo ni *149*91#
Ili kupata menu hiyo, ni lazima tufanye SME Activation kwenye laini yako ya Airtel. Baada ya activation, utaweza kujiunga mwenyewe wakati wowote.
🛠 Mimi nitakufanyia activation ya menu hiyo.
📌 Jinsi ya Kujiunga:
- Tuma namba yako ya Airtel.
- Picha ya cheti cha TIN namba.
- Weka vocha TZS 15,000 (Gharama ya activation ni 5,000).
⚠️ Masharti:
- Line isiwe na Lipa namba ya Airtel.
- Isiwe ya uwakala wa Airtel Money.
⏱ Huduma hii inakamilika ndani ya dakika 30.
Tovuti: Click here
🅕🅞🅛🅛🅞🅦 ᏟᎻᎪΝΝᎬᏞ👇
🅕🅞🅛🅛🅞🅦 ᏟᎻᎪΝΝᎬᏞ NOW
© 2025 | G-INTERNET SERVICES
Tags:
Vifurushi vya airtel