Huduma ya Vodacom Postpaid/SME inakupa nafasi ya kuchagua package moja wapo kutoka katika orodha ya vifurushi vilivyopo. Utapata nafasi ya kutengeneza akaunti yako, ambayo itakuruhusu kununua bandoo husika kila mwezi.
Jinsi ya Kupata Huduma:
- Chagua package mojawapo kutoka vifurushi vya Vodacom Postpaid/SME.
- Utengenezewe akaunti ya kudumu ya bandoo.
- Kwa upande wa SME, bonyeza *149*73# kujiunga na bandoo.
Vigezo:
- Namba ya Vodacom
- TIN Number
- Barua pepe
- Hela ya bando kwenye M-PESA
Malipo & Muda:
Malipo kupitia M-PESA. Baada ya malipo, akaunti hutengenezwa ndani ya dakika 30.
Tags:
Vifurushi vya vodacom