📢 Airtel SME Bando
Tumia vifurushi hivi vya gharama nafuu kwa ajili ya biashara yako kupitia Airtel SME Bundles – huduma maalum kwa wajasiriamali na taasisi zinazojali bajeti.
✅ Jinsi ya Kujiunga
- Piga *149*91# kwenye simu yako ya Airtel
📌 Vigezo Muhimu
- ✔️ Namba ya Simu
- ✔️ TIN Number
- ✔️ Majina Kamili Matatu
- ✔️ Salio la kawaida kulingana na kifurushi unachotaka
- Gharama ya Activation: 10,000 TZS
🌐 Orodha ya Vifurushi
- >
- 15,000 TZS – 10GB
- 20,000 TZS – 15GB
- 30,000 TZS – 30GB
- 50,000 TZS – 60GB
🎯 Faida za Huduma hii
- ✔ Bei nafuu kulinganisha na vifurushi vya kawaida
- ✔ Inafaa kwa matumizi ya biashara, ofisi na taasisi mbalimbali
- ✔ Huunganishwa haraka ndani ya dakika chache popote Tanzania
📞 Wasiliana Nasi
WhatsApp: +255680717171 / +255 711 111 110
Tovuti: www.gm-netsolutions.com