📢 YAS POSTPAID
Utafanya malipo mwenyewe kwendaYAS Kisha Utakuwa unapewa kifurushi then unalipia mwenyewe baada ya kutumia
✅ Vigezo vya Kujiunga
- ✔️ Majina Kamili
- ✔️ TIN Number
- ✔️ Namba ya NIDA / Kitambulisho halali
- ✔️ Gharama ya Activation: 10,000 TZS
💳 Jinsi ya Kufanya Malipo Kupitia *150*01#
- Piga: *150*01#
- Chagua 4. Lipa Bili
- Chagua 2. Kupata Majina ya Kampuni
- Chagua 6. Yas Business
- Chagua 2. Deposit (Mteja Mpya)
- Weka Kumbukumbu Namba: namba yako ya simu (mfano: 06xx xxx xxx au 07xx xxx xxx)
- Ingiza kiasi cha kifurushi
- Ingiza namba ya siri ya M-PESA
📸 Baada ya malipo, tuma screenshot ya uthibitisho ili huduma ikamilike haraka.