YAS/POSTPAID - Huduma ya Malipo Baada
Ni huduma ya malipo baada ambapo unapewa kifurushi tarehe 1 ya kila mwezi kisha unalipia kidogo kidogo au yote kwa pamoja.
Unatumiwa package kabla ya kulipa, na unatakiwa kukamilisha malipo kabla ya tarehe 20.
Gharama ya Huduma
Gharama ya huduma ni 10,000 TZS. Pia utalipa security deposit kulingana na package utakayo chagua.
Unachotakiwa Kufanya
- - Tuma screenshot ya malipo ya "security deposit"
- - Tuma picha ya kitambulisho na TIN namba
- - Lipia kifurushi moja kwa moja kwenda "TIGO/YAS"
- - Tuma taarifa zako baada ya malipo
Utaratibu wa Malipo
1. Piga *150*01#
2. Chagua:
- 4. Lipa bill
- 2. Kupata majina ya kampuni
- 6. Tigo/YAS business
- 2. Security deposit (mteja mpya)
- 1. Weka kumbukumbu namba (namba ya simu unayotaka kutumia)
Kisha weka kiasi cha kifurushi, ingiza namba ya siri, bofya OK.
Msaada Zaidi
Kwa msaada zaidi, wasiliana nasi kupitia WhatsApp: +255680717171
© 2025 | G-SERVICES
Tags:
Vifurushi vya yas