VODACOM POSTPAID
Utachagua kifurushi kinachokufaa kulingana na matumizi yako kwa mwezi. Mfano: "15,000 / 20,000 / 30,000 / 40,000" n.k.
Ukishachagua kifurushi chako, "Mimi nakuunga kwenye mfumo ndani ya dakika tano tuu".
VIGEZO
- - Majina Matatu
- - Email yako
- - TIN Namba (Kama hujayo, tunaweza kutengeneza)
- - Namba ya NIDA
Huduma hii ni ya uhakika na uharaka. Utafikiwa haraka na utapewa huduma bora.
© 2025 | G-SERVICES
Tags:
Vifurushi vya vodacom