YAS POST PAID 🇹🇿 - Huduma ya Bando kwa Watumiaji wa Intaneti
Tunapenda kuwajulisha wateja wetu kuwa huduma ya Yas Postpaid inatoa bando zenye unafuu kwa watumiaji wa intaneti wenye matumizi makubwa.
Huduma hii inawawezesha wateja kupokea bando zao kila tarehe 1 ya mwezi, na kulipia bill zao kwa urahisi kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 20 ya kila mwezi.
Mteja anajiunga na bando hizi mwenyewe kwa kufanya malipo ya bando moja kwa moja kwenda Yas, na anapata huduma bora na ya kisasa.
Jipatie Yas Postpaid leo na furahia bando zako za intaneti!
Kwa maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa wateja: +255680717171.
