Huduma ya Airtel SME Activation
Vifurushi hivi vya Airtel SME unajiunga mwenyewe kwa menu ya SME ambayo ni *149*91#.
Kupata menu yenye vifurushi hivi vya Airtel SME kwenye line yako ya Airtel ni lazima ufanyiwe SME activation kwenye line hiyo ili kuunganisha menu hiyo kwenye line yako.
Baada ya activation kukamilika utaweza kujiunga vifurushi hivyo vya SME kwa menu ya SME *149*91# wewe mwenyewe kwenye simu yako wakati wowote unapotaka.
Mimi kazi yangu ni kukufanyia activation ya menu hiyo.
Utaratibu wa Activation
- Nitumie namba yako ya Airtel
- Tuma picha ya cheti chako cha TIN namba
- Iwekee vocha laini yako kiasi cha TZS 15,000 (Gharama ya Activation ni TZS 5,000)
Masharti
- Line yako isiwe na lipa namba ya Airtel
- Line yako isiwe ya uwakala wa Airtel Money
Huduma hii inakamilika ndani ya dakika 15 tu. Msaada zaidi unaweza wasiliana nasi kwa namba +255711111110.