LEO JIFUNZE KITU KUPITIA HAPA
— ptech tanzania (@Petertz037) March 18, 2025
Kujilinda dhidi ya Phishing Links: Jinsi ya Kuepuka Mitego ya Mtandao
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, ambapo huduma na mawasiliano yanategemea mtandao, usalama wa taarifa zako binafsi ni jambo la msingi. Miongoni mwa mbinu hatari za kimtandao

