Huduma ya Kutengeneza Till za Wakala wa HALOPESA
Sasa tunapokea maombi ya kutengeneza Till za wakala wa HALOPESA.
Vigezo:1. Sajili laini ya Halotel iwezeshe Halopesa na kuweka kiasi cha Tsh 100,000 kwenye akaunti yako ya Halopesa.
2. TIN ya TRA.
3. Kitambulisho chochote kati ya Leseni ya Udereva, Passport, Kitambulisho cha Mpiga Kura au cha NIDA.
4. Ndani ya masaa 24, laini ya wakala inakuwa tayari.
5. Bei ni rafiki sana kwa sasa.
Lipa Namba: 5832224 (Gody Wakala Shop Tigo Lipa)