NB: Huduma hii SIO BURE. Kwa kuwa wengi wanaitaka, hivyo ili kupata watu serius tunafanya ifuatavyo:
👇🏻 Mfumo unatengenezewa account kwa 45,000 Tsh (onetime fee)
✅ Then ukiwa na mfumo unanunua SMS kwa Tsh 29/sms kwa kadiri ya idadi unayotaka.
Mahitaji ili kupata mfumo ni:
- Uwe na usajili (taasisi au jina la kampuni) au leseni ya biashara (kwa mtu binafsi).
- Email yako.
- Namba yako ya simu (kwa ajili ya kutengeneza account).
- Jina unalotaka liwe linaonekana kwenye SMS zako zinazoenda kwa wateja.
- Tsh 45,000 ya kupata system unalipia VIA lipa namba 5832224 (Gody Wakala shop Tigo lipa).