YAS KINARA PLUS 🔥
Je, unatafuta vifurushi vya intaneti, dakika na SMS kwa bei nafuu? YAS Kinara Plus ni suluhisho sahihi kwa biashara yako.
✅ Faida za Huduma
- Vifurushi vya bei nafuu kila mwezi
- Unapata kifurushi kwa haraka baada ya kujiunga
- Mfumo huu unafanya kazi kwa mwaka mzima bila usumbufu
📝 Vigezo vya Kujiunga
- ✔️ Majina matatu
- ✔️ Namba ya NIDA
- ✔️ TIN Number
- ✔️ Malipo ya 20,000 TZS kupitia Gm-net Solutions Ltd
- ✔️Gharama ya Kujiunga: 20,000 TZS
- ✔️Gharama ya Activation: 10,000 TZS
- ✔️ 10,000 TZS – Kifurushi cha kuanzia (GB5 + Dk500 + SMS100)
⚠️ Muhimu Kufahamu
- Laini haipaswi kuwa kwenye Yas Postpaid / Lipa namba
- Huduma hii ni rasmi kupitia Mixx by Yas
- Usajili hukamilika ndani ya dakika 5–15 tu
📞 Mawasiliano
Simu: +255 711 111 110
Tovuti: www.gm-netsolutions.com
Tags:
Vifurushi vya yas